Violin Programme for Children with AlbinismMradi wa Violin Tanzania kwa Watoto wenye Ualbino
- Pioneering inclusionUjumuishaji na usawaCo-founded by MUFO Chairwoman and musician Catherine Mushi at the Living Water Children Center and expanded to Kwetu Nyumbani Kids (Sanawari district), serving over 70 children.Mradi ulianzishwa katika Kituo cha Watoto cha Living Water kilichopo Arusha na Mwenyekiti wa MUFO na mwanamuziki Catherine Mushi, ukitoa fursa kwa watoto, hususani wenye ualbino, kukuza ubunifu na kujiamini kupitia muziki. Mpango huu umepanuka hadi kuwafikia zaidi ya watoto 70 kupitia ushirikiano na Kwetu Nyumbani Kids katika wilaya ya Sanawari.
- Global collaboration and performanceUshirikiano wa kimataifa na maonyeshoChildren receive tri-weekly instruction from Catherine Mushi, teacher Caroline, and violin teacher Luis, alongside international student volunteers from the University of Music and Performing Arts Munich. The ensemble recently performed at the 42nd Annual Conference of the Association for Educational Assessment in Africa (AEAA) in Arusha.Watoto hupata mafunzo kutoka kwa Catherine Mushi, mwalimu Caroline, na mwalimu wa violin Luis, wakisaidiwa na wanafunzi wa kujitolea kutoka Chuo Kikuu cha Muziki na Sanaa za Maonyesho Munich. Hivi karibuni, kundi hili lilifanya onyesho katika Mkutano wa 42 wa Mwaka wa Chama cha Kupima Elimu Barani Afrika (AEAA) mjini Arusha.
Catherine Mushi (Chairwoman, MUFO Tanzania)Catherine Mushi (Mwenyekiti, MUFO Tanzania)



















